ELIMU NA MAARIFA KIDIJITALI
Asilimia 90 ya Kozi na Bidhaa zetu,
zinatolewa kwa Lugha rahisi ya Kiswahili

5+
5+
5+
Kozi kwa sasa

10+
10+
10+
Wanafunzi kwa sasa

8+
8+
8+
Wamepata Vyeti

95%
95%
95%
Wamemaliza Kozi
Wanachosema wanafunzi wetu

Thank very much kwa kuanzishwa Thamani Academy. Personally, imenisaidia sana. Nilipita kwenye wakati mgumu sana. Nilikuwa very depressed, for sure nilikata tamaa sana. Niliona giza mbele yangu, lakini mara baada ya kuifahamu Thamani Academy, nilipata ushauri ulionivusha completely and I can say I’m doing well now. Niko vizuri sana na everything is well.
Hossana Josiah
Mjasiriamali
Thamani academy imekua jiwe la msingi kwenye mafanikio yangu. Kupitia Thamani Academy niliweza kugundua KUSUDI langu la kweli (hili ni jambo kubwa sana kwangu), pia ilinijengea nidhamu kubwa ya kifedha iliyonitoa kwenye mazingira magumu hadi kunileta jijini kwa biashara ya uhakika.
Gilbert Kulaya
Mjasiriamali
Kupitia thamani Academy nimefaidika na mambo mengi ambayo yamenisaidia kujua THAMANI yangu kama binti. Kujua mimi ni nani na kwanini nipo hapa duniani. Lakini pia kupitia thamani Academy imenisadia kunijengea tabia mpya nzuri ambazo nilikua napata shida kuzifanya kama kusoma vitabu na kupenda kujifunza kitu kipya kila siku.