Kuna uwezekano mkubwa umewahi kusikia kuhusu malengo, Umewahi kusikia juu ya nguvu iliyopo katika malengo, umewahi kusikia pia aina mbalimbali za malengo. Lakini bado unapata ugumu na unashindwa kufahamu...
Ni kweli una wazo zuri sana la biashara. Ni wazo bora mno, linakuvutia sana na kukupa hamu ya kuchukua hatua na kufungua biashara hiyo hata kesho. Yaani....
Ni mara ngapi umewahi kufanya Matangazo Instagram, lakini ukaishia kupoteza pesa zako bila kupata matokeo uliyotarajia? Katika uhalisia, sio kila tangazo utakalolifanya, linaweza kukupa matokeo mazuri katika mtandao wa...
Mitandao ya Kijamii ni moja ya eneo kiungo muhimu sana kama unataka kukua na kuendelea kusurvive kibiashara huku mtandaoni. Kama mfanyabiashara unaetumia au unapanga kutumia mitandao ya kijamii ili...