Ni kweli una wazo zuri sana la biashara. Ni wazo bora mno, linakuvutia sana na kukupa hamu ya kuchukua hatua na kufungua biashara hiyo hata kesho. Yaani....
Mitandao ya Kijamii ni moja ya eneo kiungo muhimu sana kama unataka kukua na kuendelea kusurvive kibiashara huku mtandaoni. Kama mfanyabiashara unaetumia au unapanga kutumia mitandao ya kijamii ili...