Ni mara ngapi umewahi kufanya Matangazo Instagram, lakini ukaishia kupoteza pesa zako bila kupata matokeo uliyotarajia? Katika uhalisia, sio kila tangazo utakalolifanya, linaweza kukupa matokeo mazuri katika mtandao wa...
Ukweli ni kwamba, kwa sasa Mitandao ya kijamii ina watu wengi sana wanaofanya Biashara kama yako. Kuna mamilioni ya wafanyabiashara, kama wewe,wanatafuta namna ya kutengeneza attention na kushawishi wateja...