Unatamani kuianza safari ya kufanya biashara kupitia majukwaa mbalimbali mtandaoni? Kozi hii itakupa mwanga na kukuongoza katika mambo muhimu sana yatakayokusaidia kujenga msingi imara wa Biashara yako mtandaoni. Kuanzia...
Mara nyingi malengo ya kila mfanyabiashara anapotengeneza ukurasa wa biashara ni kuanza kuweka post za bidhaa zake, kupata engagement kutoka kwa audience wake, pamoja na kuwabadili kutoka kuwa followers...