Description
Kitabu hiki ni Kwa ajili ya nani?
Uko tayari kutimiza Malengo uliyojiwekea mwaka huu? Kufahamu na kukabiliana na vikwazo au Changamoto zinazoweza kukuzuia kufikia malengo yako? Basi, kitabu hiki ni kwa ajili yako.
Kuna uwezekano mkubwa upo hapa kwa sababu unatamani sana kuipata Furaha ya Kuona ukitimiza Malengo na mipango yako.
Hauhitaji Kusimamiwa na mtu ili uweze kufikia malengo yako. “Hatua” sio kitabu tu, bali ni muongozo utakaokusaidia hatua kwa hatua kufikia malengo yako kwa kukupa mazoezi ya kufanya kila siku, kwa muda wa siku 30 mfululizo.
Mazoezi haya, yatakusaidia kujenga Nidhamu ya Utekelezaji, ambayo unahitaji zaidi ili uweze kufikia na kutimiza Malengo yako kwa wakati.
Reviews
There are no reviews yet.