Description
Kitabu hiki ni Kwa ajili ya nani?
Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili ya kila mtu anayehisi kukata tamaa na kupoteza matumaini ya kupiga hatua au kufanya mabadiliko chanya katika maisha yake.
Ndani ya Kitabu hiki, utajifunza kila mbinu zitakazokusaidia kuibuka mshindi katika changamoto na vikwazo vinavyokuzuia kufikia ndoto, mipango au malengo yako.