Build Your Skill
dislike men who are so beguiled and demoralized.
Welcome to Educavo Distance Learning
Popular Courses
Develope Your Skills Shine Your Life
Expert Teachers
Coach Ansey
Mtaalamu wa Maudhui & MasokoAdmission Open for 2021
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed eius to mod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enims ad minim veniam. Aenean massa. Cum sociis natoque penatibus et magnis education.
What Our Students Says
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed eius to mod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enims ad minim veniam. Aenean massa.
Thank very much kwa kuanzishwa Thamani Academy. Personally, imenisaidia sana. Nilipita kwenye wakati mgumu sana. Nilikuwa very depressed, for sure nilikata tamaa sana. Niliona giza mbele yangu, lakini mara baada ya kuifahamu Thamani Academy, nilipata ushauri ulionivusha completely and I can say I’m doing well now. Niko vizuri sana na everything is well.
Thamani academy imekua jiwe la msingi kwenye mafanikio yangu. Kupitia Thamani Academy niliweza kugundua KUSUDI langu la kweli (hili ni jambo kubwa sana kwangu), pia ilinijengea nidhamu kubwa ya kifedha iliyonitoa kwenye mazingira magumu hadi kunileta jijini kwa biashara ya uhakika.
Kupitia thamani Academy nimefaidika na mambo mengi ambayo yamenisaidia kujua THAMANI yangu kama binti. Kujua mimi ni nani na kwanini nipo hapa duniani. Lakini pia kupitia thamani Academy imenisadia kunijengea tabia mpya nzuri ambazo nilikua napata shida kuzifanya kama kusoma vitabu na kupenda kujifunza kitu kipya kila siku.
Read Latest News
Matangazo Instagram: Faida na Hasara zake Katika Biashara
Historia ya Kufanya Matangazo Instagram inaanzia mwaka 2013 ambapo instagram ilitambulisha rasmi utaratibu mpya wa...
Jinsi ya Kupanga Malengo yako 2024
Kuna uwezekano mkubwa umewahi kusikia kuhusu malengo, Umewahi kusikia juu ya nguvu iliyopo katika malengo,...
Maswali 3 ya Kujiuliza Kabla ya Kuanzisha Biashara
Ni kweli una wazo zuri sana la biashara. Ni wazo bora mno, linakuvutia sana na...
Makosa 5 ya Kuepuka Katika Tangazo lako
Ni mara ngapi umewahi kufanya Matangazo Instagram, lakini ukaishia kupoteza pesa zako bila kupata matokeo...
Mambo 5 ya Kufanya ili Kukuza Biashara yako Online
Mitandao ya Kijamii ni moja ya eneo kiungo muhimu sana kama unataka kukua na kuendelea...
Jinsi ya Kutumia Instagram ili Kuongeza Mauzo
Mitandao ya Kijamii ni miongoni mwa njia nzuri sana zinazoweza kukusaidia kuongeza mauzo katika Biashara...