
Coach Ansey
Mtaalamu wa Maudhui & Masoko
Anselmo John (Coach Ansey) ni Mtaalamu wa Maudhui na Masoko ya kidijitali.
Kwa muda wa miaka 5 ameshafanya kazi na Wafanyabiashara zaidi ya 80 Kutoka Tanzania, na 15 Kutoka nje Tanzania.
Anatambulika kama miongoni mwa "Top Rated Social Media Marketers" kupitia Platform ya Kazi za Kidigitali inayofahamika kama Upwork.
Kama unatamani kujifunza fursa za kidijitali na kufahamu ni kwa namna gani zinaweza kukusaidia katika Biashara na Maisha yako, basi huyu ni mtu sahihi sana kwako.
- Phone: +255 674 913 404
- Email: coachansey@gmail.com