Quick Contact

Coach Ansey

Mtaalamu wa Maudhui & Masoko
Kama unatafuta njia za kukusaidia kukabiliana na Changamoto za kufanya Biashara kidijitali, na kuongeza Thamani zaidi katika Biashara yako, bila shaka unahitaji Elimu, Ushauri na Mafunzo kutoka kwa Coach Ansey.

Professional Skills

Masoko na Matangazo ya Kidijitali 95%
Kutengeneza Maudhui ya Biashara 98%
Usimamizi wa Kurasa za Biashara 90%
Kujenga Chapa (Brand) Kidijitali 95%

Experience & Activities

Anselmo John (Coach Ansey) ni Mtaalamu wa Maudhui na Masoko ya kidijitali.

Kwa muda wa miaka 5 ameshafanya kazi na Wafanyabiashara zaidi ya 80 Kutoka Tanzania, na 15 Kutoka nje Tanzania.

Anatambulika kama miongoni mwa “Top Rated Social Media Marketers” kupitia Platform ya Kazi za Kidigitali inayofahamika kama Upwork.

Kama unatamani kujifunza fursa za kidijitali na kufahamu ni kwa namna gani zinaweza kukusaidia katika Biashara na Maisha yako, basi huyu ni mtu sahihi sana kwako.