Thank very much kwa kuanzishwa Thamani Academy. Personally, imenisaidia sana. Nilipita kwenye wakati mgumu sana. Nilikuwa very depressed, for sure nilikata tamaa sana. Niliona giza mbele yangu, lakini mara...
Thamani academy imekua jiwe la msingi kwenye mafanikio yangu. Kupitia Thamani Academy niliweza kugundua KUSUDI langu la kweli (hili ni jambo kubwa sana kwangu), pia ilinijengea nidhamu kubwa ya...
Kupitia thamani Academy nimefaidika na mambo mengi ambayo yamenisaidia kujua THAMANI yangu kama binti. Kujua mimi ni nani na kwanini nipo hapa duniani. Lakini pia kupitia thamani Academy imenisadia...