Thamani academy imekua jiwe la msingi kwenye mafanikio yangu. Kupitia Thamani Academy niliweza kugundua KUSUDI langu la kweli (hili ni jambo kubwa sana kwangu), pia ilinijengea nidhamu kubwa ya kifedha iliyonitoa kwenye mazingira magumu hadi kunileta jijini kwa biashara ya uhakika.