Kupitia thamani Academy nimefaidika na mambo mengi ambayo yamenisaidia kujua THAMANI yangu kama binti. Kujua mimi ni nani na kwanini nipo hapa duniani. Lakini pia kupitia thamani Academy imenisadia kunijengea tabia mpya nzuri ambazo nilikua napata shida kuzifanya kama kusoma vitabu na kupenda kujifunza kitu kipya kila siku.