Historia ya Kufanya Matangazo Instagram inaanzia mwaka 2013 ambapo instagram ilitambulisha rasmi utaratibu mpya wa kulipia ili kuruhusu Biashara na watu binafsi kufikisha post zao kwa watu wengi zaidi....
Mitandao ya Kijamii ni miongoni mwa njia nzuri sana zinazoweza kukusaidia kuongeza mauzo katika Biashara yako. Lakini, mpaka leo, bado kuna wafanyabiashara wachache wanaamini hakuna umuhimu wowote wa kuwekeza...