
Kozi za Kidijitali
Chagua kozi inayokufaa

Kuza Biashara yako
Tumerahisisha kila kitu

Msaada 24/7
Tupo na wewe wakati wote
Uhuru wa Kuchagua
Kozi Category
JIFUNZE KILE UNACHOHITAJI
Kozi zetu Maarufu
CHAGUA KOZI YAKO
Kozi zilizosomwa zaidi
USIOGOPE KABISA KUONGEZA MAARIFA
Kuna utofauti mkubwa sana wa mazingira na uzoefu kwa kila mtu, na wataalamu wetu wanatambua hilo. Ndiyo maana tunatoa kozi za BURE, pamoja na zinazohitaji kulipia pia.
Bidhaa na Kozi zetu nyingi zitakupa maarifa kuhusu Biashara na masoko ya kidijitali, maendeleo binafsi, mauzo, teknolojia, na mengine mengi zaidi!
Tunaongeza Makala, vitabu, na kozi mbalimbali kila siku!
Usisahau, kujisajili ni BURE kabisa!
Maswali Muhimu
Maswali yanayoulizwa zaidi
Unahitaji kufahamu kusoma na kuandika tu ili uweze kuanza kujifunza.
Ndio! Unaweza kuongeza maarifa kupitia baadhi ya kozi zinazotolewa BURE pasipo malipo yoyote.
Unahitaji kujisajili katika kozi husika na uwe umekamilisha malipo yote yanayohitajika.
Mara baada ya kulipia, utakuwa na uwezo wa kupakua (Download) Templates zako na kufanya editing kupitia CANVA. Lakini pia, utaweza kudownload vitabu na kusoma kulingana na ratiba yako.
MREJESHO NA SHUHUDA
Kutoka kwa wanafunzi wetu
Thank very much kwa kuanzishwa Thamani Academy. Personally, imenisaidia sana. Nilipita kwenye wakati mgumu sana. Nilikuwa very depressed, for sure nilikata tamaa sana. Niliona giza mbele yangu, lakini mara baada ya kuifahamu Thamani Academy, nilipata ushauri ulionivusha completely and I can say I’m doing well now. Niko vizuri sana na everything is well.

Thamani academy imekua jiwe la msingi kwenye mafanikio yangu. Kupitia Thamani Academy niliweza kugundua KUSUDI langu la kweli (hili ni jambo kubwa sana kwangu), pia ilinijengea nidhamu kubwa ya kifedha iliyonitoa kwenye mazingira magumu hadi kunileta jijini kwa biashara ya uhakika.

Kupitia thamani Academy nimefaidika na mambo mengi ambayo yamenisaidia kujua THAMANI yangu kama binti. Kujua mimi ni nani na kwanini nipo hapa duniani. Lakini pia kupitia thamani Academy imenisadia kunijengea tabia mpya nzuri ambazo nilikua napata shida kuzifanya kama kusoma vitabu na kupenda kujifunza kitu kipya kila siku.
